skip to Main Content

MPANDA

Walimu wa shule ya sekondary  ya Rungwa wameiomba taasisi ya isiyo ya kiserikali ya Nilinde Organisation N.C.O kuwasaidia katika kuboresha vyoo vya walimu ambavyo vimekuwa changamoto kwa matumizi shuleni hapo.

NA:Ben Gadau

Back To Top