DAR ES SALAAM Ikiwa zimepita siku 15 tangu Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa…

MPANDA
Kikundi cha mageuzi kilichopo mtaa wa mpadeko kata ya makanyagio manispaa ya mpanda mkoani katavi kimeeleza mafanikio mbalimbali yaliyopatika ndani ya kikundi hicho baada ya kukopeshwa bajaji na halmashauri ya manispaa ya mpanda.