skip to Main Content

Leo majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki sawa na saa 9:00 alasiri ya leo club ya SIMBA itashuka dimbani nchini Botswana kucheza na timu ya JWANENG GALAXY katika michuano ya klabu bingwa Afrika.

picha kwa msaada wa simba sort club

baki na sisi tutakujuza kila kitakacho jirin katika mechi hiyo

Back To Top