Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA akizungumza KATAVI Mwenyekiti wa chama cha demokrasia…
Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuelewa sababu zinazo sababisha tatizo la kansa ya matiti
Na Alvero Solomon – Katavi
Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuelewa sababu zinazosababisha tatizo la kansa ya matiti kwa wanawake ili kupata ufumbuzi wa haraka kipindi dalili zinapojitokeza.
Mganga Mkuu manispaa ya Mpanda Paulo Swakala akizungumza na Mpanda radio fm Ameainisha sababu zinazo pelekea wanawake kupata kansa ya matiti ikiwemo sababu za umri huku akizungumza kuhusu mtahasi wa kuwa kila mwanamke anaweza kupata saratani ya matiti.
Katika hatua nyingine wakizungumza na Mpanda Radio fm kuhusu juu ya kansa ya matiti wananchi wa manispaa ya Mpanda Wameeleza uelewa kuhusu namna wanavyoifahamu saratani ya Matiti.