pichani ni Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa katika moja ya banda…
Baada ya ratiba ya FIFA kukamilika club ya simba inatarajiwa kusafiri kuelekea kule nchini #Botswana Katika mchezo wa mzunguko wa pili wa mtoano dhidi ya club ya jwaneng galaxy ambayo mzunguko wa kwanza ilitoa club ya Diplomatic fc kutoka Afrika ya kati (Central Afrika republic) Kwa uwiano wa Magoli mawili kwa moja
Hivyo itakutana na Simba tarehe 17 na marudio itakuwa tarehe 24 katika uwanja wa benjamini mkapa.
