Ugonjwa wa macho mekundu mpaka sasa hauna tiba ya moja kwa moja na huchukua siku…
KATAVI
Kijiji cha mtisi kilichopo kata ya sitalike halmashauri ya Nsimbo mkoani katavi kinakabiliwa na changamoto ya kukosa ofisi ya serikali ya kijiji licha ya fedha za ujenzi wa ofisi kutolewa kwenye kijiji hicho.
Na:Aziza Ramadhan