skip to Main Content

KATAVI

Baadhi ya wananchi Mkoani Katavi wameeleza umuhimu wa mpango wa bima ya afya kwa wote.

Wakizungumza na Mpanda radio fm wananchi hao wamesema bima ya afya kwa wote itasaidia kuondokana na usumbufu na kupatiwa huduma ya afya mapema pindi wanapopatwa na maradhi mbalimbali.

INSERT……WANANCHI

Ni siku chache nyuma Naibu Waziri wa afya Dk. Godwin Mollel wakati wa uzinduzi wa jengo la saratani la hospitali ya kanda ya Bugando jijini mwanza alieleza pia umuhimu wa bima ya afya kwa wote ikiwa ni pamoja na kuhakikisha usalama wa afya kwa watu wote.

INSERT……MOLLEL

Back To Top