Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA akizungumza KATAVI Mwenyekiti wa chama cha demokrasia…
KATAVI
Chama cha Act Wazalendo mkoa wa Katavi kimesema kimejipanga kutatua mingogoro yote ambayo inawakabili wananchi ikiwemo ya aridhi
Hayo yamebainishwa na Katibu wa chama hicho Joseph Mona ambapo ameleeza kuwa kupitia kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho kimeleekeza viongozi wote wa chama mikoa wa cha Act Wazalendo kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto za wananchi.
Kwa upande wao baadhi ya wanachama wa Act wazalendo mkoa wa Katavi wameleeza kuwa wanauga mkono maelekezo hayo na ambapo chama hicho kitaweza kuishauri serikali katika migogoro huku wakiomba serikali kusimama kwa usawa katika kutatua chngamoto hiyo
Hivi karibuni kumekaliliwa kuwepo kwa chama kimoja chama tawala cha Ccm kuwa ndiyo chenye uwezo wa kuishauri serikali hali ambayo inapelekea vyama vingine kushindwa kuzungumza chochote juu ya changamoto zinazowakabili wananchi.