pichani ni Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa katika moja ya banda…
MPANDA
Wananchi wa kata ya kakese wachangamkia chanjo ya UVIKO 19 mithili ya kimbunga iliyo tolewa kwa njia shirikishi na harakishi ya kupita nyumba kwa nyumba na kwenye mikusanyiko.
Pia wameiomba serikali kuedelea kutumia njia hii ili kuwafikiawaanchi wote hasa vijijini.
