skip to Main Content

NSIMBO

Wanawake,vijana na watu wenye ulemavu kutoka katika halmashauli ya nsimbo mkoani Katavi wameendelea kunufaika na mikopo ya 10% ambayo inatolewa katika halmashauri hiyo.

Akisoma taarifa ya utowaji wamikopo afisa maendeleo kutoka katika halmashauli ya nsimbo Lucy Kagine amesema kuwa zaidi ya Tsh.milioni 148 kwenye vikundi vya wanawake,vijana na watgu wenye ulemavu.

Kwa upande wake mbunge wa jimbo la nsimbo ambae alikuwa mgeni rasmi kwenye zoezi la kukabidhi cheki kwa vikundi hivyo Anna lupembe amesema kuwa miongoni mwa makundi yaliyokuwa hayajitokezi kupata mikopo hiyo ni vijana na watu wenye ulemavu.

Kwa upende wao wananchi wamesema kuwa zoezi hilo liwe endelevu na wamefurahi kupokea fedha hizo

Back To Top