skip to Main Content

KATAVI

Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mpanda Marieta Mlozi amewataka  wanaume kuacha tabia  ya kuwakatiza wanawake  kujishungulisha katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato.

Akizungumza na mpanda radio fm Marieta ameeleza kuwa wanawake wengi wamekuwa wakipitia  vitendo vya  unyanyasaji kijinsia kutokana na kunyimwa fursa ya kufanya kazi.

kwa upande wao baadhi ya wana wanawake wameeleza sababu zinazowapelekea wanaume kuwanyima fursa ya kufanya kaziSauti ya wanawake

Baadhi ya wanawake mkoani katavi wamekuwa wakishindwa kujishungulisha na shughuli za kimaendeleo kutokana na kunyimwa fursa kutoka kwa waume zao huku chanzo kikubwa kikionekana kuwa ni wivu wa kupindukia.

Back To Top