Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA akizungumza KATAVI Mwenyekiti wa chama cha demokrasia…
Wananchi mkoani katavi wamekua na maoni mbalimbali kufuatia kauli ya mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kuhusu hudumd yd mkoba kwa chanjo ya UVIKO 19.
Katika mahojiano na MPANDA RADIO FM wananchi hao wa mkoa wa katavi wamesema huduma hii ya mkoba itarahisisha zoezi la uchanjaji nana utoaji wa elimu kwa wananchi kutokana na kuwepo kwa mkanganyiko juu ya uelewa wa chanjo ya uviko 19 hivyo zoezi hilo linaweza kuongeza hamasakwa lika zote za watu kutokana na baadhi yo kutokua na elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19