skip to Main Content

MLELE

Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amezigawa nyumba Kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Mlele kutokana na kutokaliwa na watu na kuharibika.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa umma wa halmashauri hiyo ambapo amesema nyumba hizo zilijengwa Kwa ajili ya kulala mainjinia wa ujenzi na Kazi yake imeshakamilika .

Amesema nyumba hizo zilishakabidhiwa tangu mwezi November mwaka 2022 Kwa halmashauri hiyo Lakini Bado hawajapewa watu wa kukaa katika nyumba hizo Hali inayosababisha kuharibika Kwa nyumba hizo.

Back To Top